Miji yote ya Walawi iliyokuwa kati ya milki ya wana wa Israeli ilikuwa ni miji arubaini na minane, pamoja na mbuga zake za malisho.
Yoshua 21:42 - Swahili Revised Union Version Miji hiyo kila mmoja ulikuwa pamoja na mbuga zake za malisho, yaliyouzunguka pande zote; ndivyo ilivyokuwa katika miji hiyo yote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kila mmoja kati ya miji hii ulizungukwa na mbuga za malisho. Biblia Habari Njema - BHND Kila mmoja kati ya miji hii ulizungukwa na mbuga za malisho. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kila mmoja kati ya miji hii ulizungukwa na mbuga za malisho. Neno: Bibilia Takatifu Kila mji kati ya miji hii ulikuwa na maeneo ya malisho kuuzunguka; ndivyo ilivyokuwa kwa miji hii yote. Neno: Maandiko Matakatifu Kila mmoja wa miji hii ulikuwa na sehemu ya malisho kuuzunguka; ndivyo ilivyokuwa kwa miji hii yote. BIBLIA KISWAHILI Miji hiyo kila mmoja ulikuwa pamoja na mbuga zake za malisho, zilizouzunguka pande zote; ndivyo ilivyokuwa katika miji hiyo yote. |
Miji yote ya Walawi iliyokuwa kati ya milki ya wana wa Israeli ilikuwa ni miji arubaini na minane, pamoja na mbuga zake za malisho.
Basi BWANA aliwapa Israeli nchi hiyo yote, ambayo aliapa kwamba atawapa baba zao; nao wakaimiliki, na kukaa humo.