Lebaothi, Shilhimu, Aini na Rimoni; miji hiyo yote ni miji ishirini na tisa, pamoja na vijiji vyake.
Yoshua 19:6 - Swahili Revised Union Version Bethlebaothi na Sharuheni; miji kumi na mitatu, pamoja na vijiji vyake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Beth-lebaothi na Sharuheni. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake. Biblia Habari Njema - BHND Beth-lebaothi na Sharuheni. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Beth-lebaothi na Sharuheni. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake. Neno: Bibilia Takatifu Beth-Lebaothi na Sharuheni; hii ilikuwa miji kumi na tatu pamoja na vijiji vyake. Neno: Maandiko Matakatifu Beth-Lebaothi na Sharuheni; hii ilikuwa miji kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake. BIBLIA KISWAHILI Bethlebaothi na Sharuheni; miji kumi na mitatu, pamoja na vijiji vyake; |
Lebaothi, Shilhimu, Aini na Rimoni; miji hiyo yote ni miji ishirini na tisa, pamoja na vijiji vyake.