Basi Baasha wa Ahiya, wa ukoo wa Isakari, akamfanyia fitina; Baasha akampiga huko Gibethoni ulio wa Wafilisti; kwani Nadabu na Israeli wote walikuwa wakiuhusuru Gibethoni.
Yoshua 19:44 - Swahili Revised Union Version Elteka, Gibethoni, Baalathi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Elteke, Gibethoni, Baalathi, Biblia Habari Njema - BHND Elteke, Gibethoni, Baalathi, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Elteke, Gibethoni, Baalathi, Neno: Bibilia Takatifu Elteke, Gibethoni, Baalathi, Neno: Maandiko Matakatifu Elteke, Gibethoni, Baalathi, BIBLIA KISWAHILI Elteka, Gibethoni, Baalathi; |
Basi Baasha wa Ahiya, wa ukoo wa Isakari, akamfanyia fitina; Baasha akampiga huko Gibethoni ulio wa Wafilisti; kwani Nadabu na Israeli wote walikuwa wakiuhusuru Gibethoni.
Katika mwaka wa ishirini na saba wa Asa mfalme wa Yuda, Zimri akatawala muda wa siku saba huko Tirza. Basi, watu walikuwa wametua kambini kupigana na Gibethoni, ulio wa Wafilisti.
Tena katika kabila la Dani Elteke pamoja na mbuga zake za malisho, na Gibethoni pamoja na mbuga zake za malisho;