Siku nyingi zikapita, akafa binti Shua, mkewe Yuda. Yuda akafarijika, akaenda kwa watu wake wawakatao kondoo manyoya huko Timna, yeye na mwenzake Hira, Mwadulami.
Yoshua 15:57 - Swahili Revised Union Version Kaini, Gibea na Timna; miji kumi, pamoja na vijiji vyake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kaini, Gibea na Timna. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi pamoja na vijiji vyake. Biblia Habari Njema - BHND Kaini, Gibea na Timna. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi pamoja na vijiji vyake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kaini, Gibea na Timna. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi pamoja na vijiji vyake. Neno: Bibilia Takatifu Kaini, Gibea na Timna; miji kumi pamoja na vijiji vyake. Neno: Maandiko Matakatifu Kaini, Gibea na Timna; miji kumi pamoja na vijiji vyake. BIBLIA KISWAHILI Kaini, Gibea na Timna; miji kumi, pamoja na vijiji vyake. |
Siku nyingi zikapita, akafa binti Shua, mkewe Yuda. Yuda akafarijika, akaenda kwa watu wake wawakatao kondoo manyoya huko Timna, yeye na mwenzake Hira, Mwadulami.
Huyo Tamari akapewa habari, kusema, Mkweo anakwenda Timna, akate manyoya ya kondoo wake.
Tena akamzaa Shaafu, babaye Madmana; na Sheva babaye Makbena; na babaye Gibea; naye binti Kalebu alikuwa Aksa.
kisha mpaka ukazunguka kutoka Baala kwendelea upande wa magharibi hadi kilima Seiri, kisha ukaendelea hadi upande wa mlima wa Yearimu upande wa kaskazini (huo ndio Kesaloni), kisha ukateremkia Beth-shemeshi, na kwendelea karibu na Timna;