Akaendelea, akazaa tena mwana mwingine, akamwita jina lake Shela. Naye Yuda alikuwa huko Kezibu, alipomzaa.
Yoshua 15:44 - Swahili Revised Union Version Keila, Akizibu na Maresha; miji tisa, pamoja na vijiji vyake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Keila, Akzibu na Maresha. Jumla ya miji waliyopewa ni tisa pamoja na vijiji vyake. Biblia Habari Njema - BHND Keila, Akzibu na Maresha. Jumla ya miji waliyopewa ni tisa pamoja na vijiji vyake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Keila, Akzibu na Maresha. Jumla ya miji waliyopewa ni tisa pamoja na vijiji vyake. Neno: Bibilia Takatifu Keila, Akzibu na Maresha; yote ni miji tisa pamoja na vijiji vyake. Neno: Maandiko Matakatifu Keila, Akzibu na Maresha; yote ni miji tisa pamoja na vijiji vyake. BIBLIA KISWAHILI Keila, Akizibu na Maresha; miji tisa, pamoja na vijiji vyake. |
Akaendelea, akazaa tena mwana mwingine, akamwita jina lake Shela. Naye Yuda alikuwa huko Kezibu, alipomzaa.
Na wana wa Kalebu, nduguye Yerameeli, walikuwa Mesha, mzaliwa wake wa kwanza, aliyekuwa babaye Zifu; na wana wa Maresha, babaye Hebroni.
Wana wa Shela, mwana wa Yuda; Eri, babaye Leka, na Laada, babaye Maresha, na jamaa zao wa ukoo wa wafuma nguo za kitani safi, wa ukoo wa Ashbea;