Kuhusu Moabu. BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Ole wake Nebo! Kwa maana umeharibika; Kiriathaimu umeaibishwa, umetwaliwa; Misgabu umeaibishwa, nao umebomolewa.
Yoshua 13:19 - Swahili Revised Union Version na Kiriathaimu, na Sibma, na Sereth-shahari katika kilima cha hilo bonde; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kiriathaimu, Sibma, Sereth-shahari, huko kilimani bondeni, Biblia Habari Njema - BHND Kiriathaimu, Sibma, Sereth-shahari, huko kilimani bondeni, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kiriathaimu, Sibma, Sereth-shahari, huko kilimani bondeni, Neno: Bibilia Takatifu Kiriathaimu, Sibma, Sereth-Shahari juu ya kilima kilicho katika bonde, Neno: Maandiko Matakatifu Kiriathaimu, Sibma, Sereth-Shahari juu ya kilima kilicho katika bonde, BIBLIA KISWAHILI na Kiriathaimu, na Sibma, na Sereth-shahari katika kilima cha hilo bonde; |
Kuhusu Moabu. BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Ole wake Nebo! Kwa maana umeharibika; Kiriathaimu umeaibishwa, umetwaliwa; Misgabu umeaibishwa, nao umebomolewa.
basi, tazama, nitawafunulia wana wa mashariki ubavu wa Moabu toka miji yake, toka miji yake iliyo mipakani mwake, utukufu wa nchi hiyo, Beth-yeshimothi, na Baal-meoni, na Kiriathaimu,