Heshboni analia na Eleale; mpaka Yahasa sauti ya kulia kwao inasikiwa; hata watu wa Moabu waliovaa silaha wanapiga kelele sana kwa sababu hiyo; nafsi yake inatetemeka ndani yake.
Yoshua 13:18 - Swahili Revised Union Version na Yahasa, na Kedemothi, na Mefaathi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yahasa, Kedemothi, Mefaathi, Biblia Habari Njema - BHND Yahasa, Kedemothi, Mefaathi, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yahasa, Kedemothi, Mefaathi, Neno: Bibilia Takatifu Yahasa, Kedemothi, Mefaathi, Neno: Maandiko Matakatifu Yahasa, Kedemothi, Mefaathi, BIBLIA KISWAHILI na Yahasa, na Kedemothi, na Mefaathi; |
Heshboni analia na Eleale; mpaka Yahasa sauti ya kulia kwao inasikiwa; hata watu wa Moabu waliovaa silaha wanapiga kelele sana kwa sababu hiyo; nafsi yake inatetemeka ndani yake.
Toka kilio cha Heshboni mpaka Eleale, naam, mpaka Yahasa, wametoa sauti zao, toka Soari mpaka Horonaimu, hata Eglath-shelishia; maana maji ya Nimrimu nayo yatakuwa ukiwa.
Lakini Sihoni hakukubali kumwacha Israeli kupita katika mpaka wake; bali Sihoni akawakutanisha watu wake wote, akatoka aende kupigana na Israeli jangwani, akafika mpaka Yahasa; akapigana na Israeli.
Nikatuma wajumbe kutoka bara ya Kedemothi kwenda kwa Sihoni mfalme wa Heshboni na maneno ya amani, kusema.
na Heshboni na miji yake yote iliyoko katika bonde; na Diboni, na Bamoth-baali, na Beth-baal-meoni;
Lakini huyo Sihoni hakuwaamini Israeli ili wapite ndani ya mpaka wake; bali Sihoni akawakutanisha watu wake wote, nao wakapiga kambi katika Yahasa, wakapigana na Israeli.