Kisha BWANA akamwambia Yoshua, Usiogope, wala usifadhaike; wachukue wanajeshi wako wote waende pamoja nawe, nanyi inukeni, mwende Ai, angalia, mimi nimemtia mkononi mwako huyo mfalme wa Ai, na watu wake, na mji wake, na nchi yake;
Yoshua 12:9 - Swahili Revised Union Version mfalme wa Yeriko, mmoja; mfalme wa Ai, ulio karibu na Betheli, mmoja; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wafalme waliowashinda walikuwa, mmojammoja: Mfalme wa Yeriko, mfalme wa Ai mji ulioko karibu na Betheli, Biblia Habari Njema - BHND Wafalme waliowashinda walikuwa, mmojammoja: Mfalme wa Yeriko, mfalme wa Ai mji ulioko karibu na Betheli, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wafalme waliowashinda walikuwa, mmojammoja: mfalme wa Yeriko, mfalme wa Ai mji ulioko karibu na Betheli, Neno: Bibilia Takatifu mfalme wa Yeriko; mfalme wa Ai (karibu na Betheli); BIBLIA KISWAHILI mfalme wa Yeriko, mmoja; mfalme wa Ai, ulio karibu na Betheli, mmoja; |
Kisha BWANA akamwambia Yoshua, Usiogope, wala usifadhaike; wachukue wanajeshi wako wote waende pamoja nawe, nanyi inukeni, mwende Ai, angalia, mimi nimemtia mkononi mwako huyo mfalme wa Ai, na watu wake, na mji wake, na nchi yake;
Hakusalia mtu yeyote ndani ya Ai, au katika Betheli, asiyetoka nje kuwafuatia Israeli; wakauacha mji wazi na kuwafuatia Israeli.