Baana mwana wa Ahiludi, katika Taanaki na Megido, na Beth-sheani yote, iliyo kando ya Sarethani, chini ya Yezreeli, tangu Beth-sheani mpaka Abel-mehola, hata kupita Yokmeamu.
Yoshua 12:21 - Swahili Revised Union Version mfalme wa Taanaki, mmoja; na mfalme wa Megido, mmoja; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mfalme wa Taanaki, mfalme wa Megido, Biblia Habari Njema - BHND mfalme wa Taanaki, mfalme wa Megido, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mfalme wa Taanaki, mfalme wa Megido, Neno: Bibilia Takatifu mfalme wa Taanaki; mfalme wa Megido; BIBLIA KISWAHILI mfalme wa Taanaki, mmoja; na mfalme wa Megido, mmoja; |
Baana mwana wa Ahiludi, katika Taanaki na Megido, na Beth-sheani yote, iliyo kando ya Sarethani, chini ya Yezreeli, tangu Beth-sheani mpaka Abel-mehola, hata kupita Yokmeamu.
Tena Manase alikuwa na miji katika Isakari na katika Asheri, nayo ni hii, Beth-sheani na vijiji vyake, Ibleamu na miji yake, wenyeji wa Dori na miji yake, wenyeji wa Endori na miji yake, wenyeji wa Taanaki na miji yake, wenyeji wa Megido na miji yake, na pia theluthi ya Nafathi.
Tena katika hiyo nusu ya kabila la Manase, Taanaki pamoja na mbuga zake za malisho, na Gath-rimoni pamoja na mbuga zake za malisho; miji miwili.
Wafalme walikuja wakafanya vita, Ndipo wafalme wa Kanaani walifanya vita. Katika Taanaki, karibu na maji ya Megido; Hawakupata faida yoyote ya fedha.