Nao wakafanya hivyo, wakamletea hao wafalme watano hapo nje ya pango, yaani, mfalme wa Yerusalemu, na mfalme wa Hebroni, na mfalme wa Yarmuthi, na mfalme wa Lakishi, na mfalme wa Egloni.
Yoshua 12:10 - Swahili Revised Union Version mfalme wa Yerusalemu, mmoja; mfalme wa Hebroni, mmoja; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mfalme wa Yerusalemu, mfalme wa Hebroni, Biblia Habari Njema - BHND mfalme wa Yerusalemu, mfalme wa Hebroni, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mfalme wa Yerusalemu, mfalme wa Hebroni, Neno: Bibilia Takatifu mfalme wa Yerusalemu; mfalme wa Hebroni; BIBLIA KISWAHILI mfalme wa Yerusalemu, mmoja; mfalme wa Hebroni, mmoja; |
Nao wakafanya hivyo, wakamletea hao wafalme watano hapo nje ya pango, yaani, mfalme wa Yerusalemu, na mfalme wa Hebroni, na mfalme wa Yarmuthi, na mfalme wa Lakishi, na mfalme wa Egloni.
Basi kwa hiyo Adoni-sedeki, mfalme wa Yerusalemu, akatuma ujumbe kwa Hohamu, mfalme wa Hebroni, na kwa Piramu, mfalme wa Yarmuthi, na kwa Yafia, mfalme wa Lakishi, na kwa Debiri, mfalme wa Egloni, akiwaambia,