Yohana 9:26 - Swahili Revised Union Version Basi wakamwambia, Alikutendea nini? Alikufumbua macho jinsi gani? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wakamwuliza, “Alikufanyia nini? Alikufumbuaje macho yako?” Biblia Habari Njema - BHND Basi, wakamwuliza, “Alikufanyia nini? Alikufumbuaje macho yako?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wakamwuliza, “Alikufanyia nini? Alikufumbuaje macho yako?” Neno: Bibilia Takatifu Wakamuuliza, “Alikufanyia nini? Aliyafumbuaje macho yako?” Neno: Maandiko Matakatifu Wakamuuliza, “Alikufanyia nini? Aliyafumbuaje macho yako?” BIBLIA KISWAHILI Basi wakamwambia, Alikutendea nini? Alikufumbua macho jinsi gani? |
Wakamwuliza Baruku, wakisema, Tuambie sasa; ulipataje kuyaandika maneno haya yote kinywani mwake?
Na Waandishi na Mafarisayo walikuwa wakimvizia, ili waone kama ataponya siku ya sabato; kusudi wapate neno la kumshitakia.
Basi Mafarisayo nao wakamwuliza tena jinsi gani alivyopata kuona. Akawaambia, Alinitia tope juu ya macho, nami nikanawa, na sasa naona.
Basi yule mtu akajibu, Kwamba yeye ni mwenye dhambi sijui. Najua neno moja, kuwa mimi nilikuwa kipofu na sasa naona.
Akawajibu, Nimekwisha kuwaambia, wala hamkusikia; mbona mnataka kusikia tena? Ninyi nanyi mnataka kuwa wanafunzi wake?