lakini jinsi aonavyo sasa hatujui; wala hatujui ni nani aliyemfumbua macho. Mwulizeni yeye mwenyewe; yeye ni mtu mzima; atajisemea mwenyewe.
Yohana 9:23 - Swahili Revised Union Version Ndiyo sababu wale wazazi wake walisema, Ni mtu mzima, mwulizeni yeye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndiyo maana wazazi wake walisema: “Yeye ni mtu mzima, mwulizeni.” Biblia Habari Njema - BHND Ndiyo maana wazazi wake walisema: “Yeye ni mtu mzima, mwulizeni.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndiyo maana wazazi wake walisema: “Yeye ni mtu mzima, mwulizeni.” Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo wazazi wake wakasema, “Yeye ni mtu mzima. Muulizeni.” Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo wazazi wake wakasema, “Yeye ni mtu mzima. Muulizeni.” BIBLIA KISWAHILI Ndiyo sababu wale wazazi wake walisema, Ni mtu mzima, mwulizeni yeye. |
lakini jinsi aonavyo sasa hatujui; wala hatujui ni nani aliyemfumbua macho. Mwulizeni yeye mwenyewe; yeye ni mtu mzima; atajisemea mwenyewe.
Basi mara ya pili wakamwita yule mtu aliyekuwa kipofu, wakamwambia, Mpe Mungu utukufu. Sisi tunajua ya kuwa mtu huyo ni mwenye dhambi.