Walipokaribia Yerusalemu, na kufika Bethfage, katika mlima wa Mizeituni, ndipo Yesu alipotuma wanafunzi wawili akiwaambia,
Yohana 8:1 - Swahili Revised Union Version Walikwenda kila mtu nyumbani kwake; naye Yesu akaenda mpaka katika mlima wa Mizeituni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Yesu akaenda kwenye mlima wa Mizeituni. Biblia Habari Njema - BHND Lakini Yesu akaenda kwenye mlima wa Mizeituni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza lakini Yesu akaenda kwenye mlima wa Mizeituni. Neno: Bibilia Takatifu Lakini Isa akaenda katika Mlima wa Mizeituni. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini Isa akaenda katika Mlima wa Mizeituni. BIBLIA KISWAHILI Walikwenda kila mtu nyumbani kwake; naye Yesu akaenda mpaka katika mlima wa Mizeituni. |
Walipokaribia Yerusalemu, na kufika Bethfage, katika mlima wa Mizeituni, ndipo Yesu alipotuma wanafunzi wawili akiwaambia,
Walipokaribia Yerusalemu karibu na Bethfage na Bethania, kukabili mlima wa Mizeituni, aliwatuma wawili katika wanafunzi wake,
Na alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, kuelekea hekalu Petro, na Yakobo, na Yohana, na Andrea walimwuliza kwa faragha,
Na alipokuwa amekaribia mteremko wa mlima wa Mizeituni, kundi zima la wanafunzi wake walianza kufurahi na kumsifu Mungu kwa sauti kuu, kwa ajili ya matendo yote ya uwezo waliyoyaona,