Hata ndugu zake walipokwisha kupanda kuiendea sikukuu, ndipo yeye naye alipopanda, si kwa wazi bali kana kwamba kwa siri.
Yohana 7:9 - Swahili Revised Union Version Naye alipokwisha kuwaambia hayo, alibaki huko Galilaya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alisema hayo kisha akabaki huko Galilaya. Biblia Habari Njema - BHND Alisema hayo kisha akabaki huko Galilaya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alisema hayo kisha akabaki huko Galilaya. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya kusema hayo, akabaki Galilaya. Neno: Maandiko Matakatifu Akiisha kusema hayo, akabaki Galilaya. BIBLIA KISWAHILI Naye alipokwisha kuwaambia hayo, alibaki huko Galilaya. |
Hata ndugu zake walipokwisha kupanda kuiendea sikukuu, ndipo yeye naye alipopanda, si kwa wazi bali kana kwamba kwa siri.
Pandeni ninyi kwenda kula sikukuu; mimi sipandi bado kwenda kula sikukuu hii, kwa kuwa wakati wangu haujatimia.