Watakwenda na makundi yao ya kondoo na ng'ombe wamtafute BWANA; lakini hawatamwona; amejitenga nao.
Yohana 7:34 - Swahili Revised Union Version Mtanitafuta wala hamtaniona; nami nilipo ninyi hamwezi kuja. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtanitafuta lakini hamtaniona, na pale nitakapokuwa nyinyi hamwezi kufika.” Biblia Habari Njema - BHND Mtanitafuta lakini hamtaniona, na pale nitakapokuwa nyinyi hamwezi kufika.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtanitafuta lakini hamtaniona, na pale nitakapokuwa nyinyi hamwezi kufika.” Neno: Bibilia Takatifu Mtanitafuta lakini hamtaniona, nami niliko ninyi hamwezi kuja.” Neno: Maandiko Matakatifu Mtanitafuta lakini hamtaniona, nami niliko ninyi hamwezi kuja.” BIBLIA KISWAHILI Mtanitafuta wala hamtaniona; nami nilipo ninyi hamwezi kuja. |
Watakwenda na makundi yao ya kondoo na ng'ombe wamtafute BWANA; lakini hawatamwona; amejitenga nao.
Kwa maana nawaambia, Hamtaniona kamwe tangu sasa, hadi mtakaposema, Amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana.
Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo.
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Baba, hao ulionipa nataka wawe pamoja nami popote nilipo, wapate na kuutazama utukufu wangu ulionipa; kwa maana ulinipenda kabla ya kuwekwa msingi ulimwengu.
Ni neno gani hilo alilolisema, Mtanitafuta wala hamtaniona; nami nilipo ninyi hamwezi kuja?