Yohana 5:27 - Swahili Revised Union Version Naye akampa amri ya kufanya hukumu kwa sababu ni Mwana wa Adamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tena amempa mamlaka ya kuhukumu kwa sababu yeye ni Mwana wa Mtu. Biblia Habari Njema - BHND Tena amempa mamlaka ya kuhukumu kwa sababu yeye ni Mwana wa Mtu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tena amempa mamlaka ya kuhukumu kwa sababu yeye ni Mwana wa Mtu. Neno: Bibilia Takatifu Naye amempa Mwanawe mamlaka ya kuhukumu kwa kuwa yeye ni Mwana wa Adamu. Neno: Maandiko Matakatifu Naye amempa Mwanawe mamlaka ya kuhukumu kwa kuwa yeye ni Mwana wa Adamu. BIBLIA KISWAHILI Naye akampa amri ya kufanya hukumu kwa sababu ni Mwana wa Adamu. |
Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (amwambia yule mwenye kupooza) Inuka, ujitwike kitanda chako, uende nyumbani kwako.
Yesu akasema, Mimi nimekuja ulimwenguni humu kwa hukumu, ili wao wasioona waone, nao wanaoona wawe vipofu.
Akatuagiza tuwahubirie watu na kushuhudia ya kuwa huyu ndiye aliyeamriwa na Mungu awe Mhukumu wa walio hai na wafu.
Kwa maana ameweka siku atakayowahukumu walimwengu kwa haki, kwa mtu yule aliyemchagua; naye amewapa watu wote uthabiti wa mambo haya kwa kumfufua katika wafu.
mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.
Naye yuko katika mkono wa kulia wa Mungu, amekwenda zake mbinguni, malaika na enzi na nguvu zikiisha kutiishwa chini yake.