akatoka Nazareti, akaja akakaa Kapernaumu, mji ulioko pwani, mipakani mwa Zabuloni na Naftali;
Yohana 4:43 - Swahili Revised Union Version Na baada ya siku mbili hizo akaondoka huko, akaenda Galilaya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya siku mbili Yesu aliondoka hapo, akaenda Galilaya. Biblia Habari Njema - BHND Baada ya siku mbili Yesu aliondoka hapo, akaenda Galilaya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya siku mbili Yesu aliondoka hapo, akaenda Galilaya. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya zile siku mbili, Isa aliondoka kwenda Galilaya. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya zile siku mbili, Isa aliondoka kwenda Galilaya. BIBLIA KISWAHILI Na baada ya siku mbili hizo akaondoka huko, akaenda Galilaya. |
akatoka Nazareti, akaja akakaa Kapernaumu, mji ulioko pwani, mipakani mwa Zabuloni na Naftali;
Akampeleka kwa Yesu. Naye Yesu akamtazama, akasema, Wewe u Simoni, mwana wa Yohana; nawe utaitwa Kefa (tafsiri yake Petro, au Jiwe).
Kwa maana Yesu mwenyewe alishuhudia ya kwamba nabii hapati heshima katika nchi yake mwenyewe.
Basi alifika tena Kana ya Galilaya, hapo alipoyafanya yale maji kuwa divai. Na palikuwa na ofisa mmoja ambaye mwanawe alikuwa mgonjwa huko Kapernaumu.
Kwa maana nasema, ya kwamba Kristo amefanyika mhudumu wa agano la kutahiriwa kwa ajili ya kweli ya Mungu, kusudi azithibitishe ahadi walizopewa baba zetu;