Mtu mmoja akaingia, akamwambia bwana wake, akasema, Yule kijana mwanamke aliyetoka nchi ya Israeli asema hivi na hivi.
Yohana 4:28 - Swahili Revised Union Version Basi yule mwanamke akauacha mtungi wake, akaenda zake mjini, akawaambia watu, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huyo mama akauacha mtungi wake pale, akaenda mjini na kuwaambia watu, Biblia Habari Njema - BHND Huyo mama akauacha mtungi wake pale, akaenda mjini na kuwaambia watu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huyo mama akauacha mtungi wake pale, akaenda mjini na kuwaambia watu, Neno: Bibilia Takatifu Yule mwanamke akaacha mtungi wake, akarudi mjini, akawaambia watu, Neno: Maandiko Matakatifu Yule mwanamke akaacha mtungi wake, akarudi mjini akawaambia watu, BIBLIA KISWAHILI Basi yule mwanamke akauacha mtungi wake, akaenda zake mjini, akawaambia watu, |
Mtu mmoja akaingia, akamwambia bwana wake, akasema, Yule kijana mwanamke aliyetoka nchi ya Israeli asema hivi na hivi.
Wakaondoka upesi kutoka kaburini, kwa hofu na furaha nyingi, wakaenda mbio kuwapasha wanafunzi wake habari.
Wakaondoka saa ile ile, wakarejea Yerusalemu, wakawakuta wale kumi na mmoja wamekutanika, wao na wale waliokuwa pamoja nao,
Wakaondoka kaburini, wakarudi; wakawaarifu wale kumi na mmoja na wengine wote habari za mambo hayo yote.
Mara hiyo wakaja wanafunzi wake, wakastaajabu kwa sababu alikuwa akisema na mwanamke; lakini hakuna aliyesema, Unatafuta nini? Au, Mbona unasema naye?
Njoni, mtazame mtu aliyeniambia mambo yote niliyoyatenda. Je! Inawezekana kuwa huyu ndiye Kristo?