Basi Pilato, aliposikia maneno hayo, akamleta Yesu nje, akaketi juu ya kiti cha hukumu, mahali paitwapo Sakafu ya Mawe, au kwa Kiebrania, Gabatha.
Yohana 19:8 - Swahili Revised Union Version Basi Pilato aliposikia neno hilo, akazidi kuogopa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Pilato aliposikia maneno hayo akazidi kuogopa. Biblia Habari Njema - BHND Pilato aliposikia maneno hayo akazidi kuogopa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Pilato aliposikia maneno hayo akazidi kuogopa. Neno: Bibilia Takatifu Pilato aliposikia haya, akaogopa zaidi. Neno: Maandiko Matakatifu Pilato aliposikia haya, akaogopa zaidi. BIBLIA KISWAHILI Basi Pilato aliposikia neno hilo, akazidi kuogopa. |
Basi Pilato, aliposikia maneno hayo, akamleta Yesu nje, akaketi juu ya kiti cha hukumu, mahali paitwapo Sakafu ya Mawe, au kwa Kiebrania, Gabatha.
Wayahudi wakamjibu, Sisi tunayo sheria, na kwa sheria hiyo amestahili kufa, kwa sababu alijifanya kuwa Mwana wa Mungu.
Akaingia tena ndani ya ile Praitorio, akamwambia Yesu, Wewe umetoka wapi? Lakini Yesu hakumpa jibu lolote.