akaenda, akakaa katika mji ulioitwa Nazareti; ili litimie neno lililonenwa na manabii, Ataitwa Mnazareti.
Yohana 18:7 - Swahili Revised Union Version Basi akawauliza tena, Mnamtafuta nani? Wakasema, Yesu Mnazareti. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Wakamjibu, “Yesu Mnazareti!” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Wakamjibu, “Yesu Mnazareti!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Wakamjibu, “Yesu Mnazareti!” Neno: Bibilia Takatifu Akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Nao wakamjibu, “Isa Al-Nasiri.” Neno: Maandiko Matakatifu Akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Nao wakamjibu, “Isa Al-Nasiri.” BIBLIA KISWAHILI Basi akawauliza tena, Mnamtafuta nani? Wakasema, Yesu Mnazareti. |
akaenda, akakaa katika mji ulioitwa Nazareti; ili litimie neno lililonenwa na manabii, Ataitwa Mnazareti.
Yesu akajibu, Nimekwisha kuwaambieni ya kwamba ni mimi; basi ikiwa mnanitafuta mimi, waacheni hawa waende zao.