Yohana 18:6 - Swahili Revised Union Version Basi alipowaambia, Ni mimi, walirudi nyuma, wakaanguka chini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Yesu alipowaambia: “Mimi ndiye,” wakarudi nyuma, wakaanguka chini. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Yesu alipowaambia: “Mimi ndiye,” wakarudi nyuma, wakaanguka chini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Yesu alipowaambia: “Mimi ndiye,” wakarudi nyuma, wakaanguka chini. Neno: Bibilia Takatifu Isa alipowaambia, “Mimi ndiye,” walirudi nyuma na kuanguka chini! Neno: Maandiko Matakatifu Isa alipowaambia, “Mimi ndiye,” walirudi nyuma na kuanguka chini! BIBLIA KISWAHILI Basi alipowaambia, Ni mimi, walirudi nyuma, wakaanguka chini. |
Watenda mabaya waliponikaribia, Wanile nyama yangu, Watesi wangu na adui zangu, Walijikwaa wakaanguka.
Waaibike na wafedheheke, Wote wanaotaka kuniua. Warudishwe nyuma, watahayarishwe, Wapendezwao na shari yangu.
Wao wakamjibu, Ni Yesu Mnazareti. Yesu akawaambia, Ni mimi. Yuda naye aliyemsaliti alikuwa amesimama pamoja nao.