Na baada ya hilo tonge Shetani alimwingia. Basi Yesu akamwambia, Uyatendayo yatende upesi.
Yohana 13:28 - Swahili Revised Union Version Wala hakuna mtu katika wale walioketi chakulani aliyeijua sababu ya kumwambia hivyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo. Biblia Habari Njema - BHND Lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo. Neno: Bibilia Takatifu Hakuna hata mmoja wa wale waliokuwa wameketi naye mezani aliyeelewa kwa nini Isa alimwambia hivyo. Neno: Maandiko Matakatifu Hakuna hata mmoja wa wale waliokuwa wameketi naye mezani aliyeelewa kwa nini Isa alimwambia hivyo. BIBLIA KISWAHILI Wala hakuna mtu katika wale walioketi chakulani aliyeijua sababu ya kumwambia hivyo. |
Na baada ya hilo tonge Shetani alimwingia. Basi Yesu akamwambia, Uyatendayo yatende upesi.
Kwa maana wengine walidhania, kwa kuwa Yuda huchukua mfuko, ya kwamba Yesu alimwambia kama, Nunua mnavyovihitaji kwa sikukuu; au kwamba awape maskini kitu.