Ndipo mfalme Ahasuero aliponena, akamwambia malkia Esta, Ni nani huyu, tena yuko wapi, ambaye moyoni mwake alithubutu kufanya hivi?
Yohana 13:25 - Swahili Revised Union Version Basi yeye, huku akimwelekea Yesu kifua chake, akamwambia, Bwana, ni nani? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwanafunzi huyo akasogea karibu zaidi na Yesu, akamwuliza, “Bwana, ni nani?” Biblia Habari Njema - BHND Mwanafunzi huyo akasogea karibu zaidi na Yesu, akamwuliza, “Bwana, ni nani?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwanafunzi huyo akasogea karibu zaidi na Yesu, akamwuliza, “Bwana, ni nani?” Neno: Bibilia Takatifu Yule mwanafunzi akamwegemea Isa, akamuuliza, “Bwana, tuambie, ni nani?” Neno: Maandiko Matakatifu Yule mwanafunzi akamwegemea Isa, akamuuliza, “Bwana, tuambie, ni nani?” BIBLIA KISWAHILI Basi yeye, huku akimwelekea Yesu kifua chake, akamwambia, Bwana, ni nani? |
Ndipo mfalme Ahasuero aliponena, akamwambia malkia Esta, Ni nani huyu, tena yuko wapi, ambaye moyoni mwake alithubutu kufanya hivi?
Petro akageuka akamwona yule mwanafunzi aliyependwa na Yesu anafuata; (ndiye huyo aliyeegama kifuani pake wakati wa kula chakula cha jioni, akasema, Bwana, ni nani akusalitiye?)