lakini nikizitenda, ijapokuwa hamniamini mimi, ziaminini zile kazi; mpate kujua na kufahamu ya kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba.
Yohana 12:39 - Swahili Revised Union Version Ndiyo sababu wao hawakuweza kusadiki; kwa maana Isaya alisema tena, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hivyo hawakuweza kuamini, kwani Isaya alisema tena: Biblia Habari Njema - BHND Hivyo hawakuweza kuamini, kwani Isaya alisema tena: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hivyo hawakuweza kuamini, kwani Isaya alisema tena: Neno: Bibilia Takatifu Kwa hivyo hawakuamini, kwa sababu Isaya anasema mahali pengine: Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hivyo hawakuamini, kwa sababu Isaya anasema mahali pengine: BIBLIA KISWAHILI Ndiyo sababu wao hawakuweza kusadiki; kwa maana Isaya alisema tena, |
lakini nikizitenda, ijapokuwa hamniamini mimi, ziaminini zile kazi; mpate kujua na kufahamu ya kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba.
ili litimie lile neno la nabii Isaya alilolisema, Bwana, ni nani aliyezisadiki habari zetu; Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani?
Amewapofusha macho, Ameifanya mizito mioyo yao; Wasije wakaona kwa macho yao, Wakafahamu kwa mioyo yao, Wakaongoka, nikawaponya.
Mnawezaje kuamini ninyi mnaopokeana utukufu ninyi kwa ninyi, na utukufu ule utokao kwa Mungu aliye wa pekee hamwutafuti?
Hakuna mtu awezaye kuja kwangu, asipovutwa na Baba aliyenituma; nami nitamfufua siku ya mwisho.
wenye macho yajaayo uzinzi, watu wasiokoma kutenda dhambi, wenye kuhadaa roho zisizo imara, wenye mioyo iliyozoezwa kutamani, wana wa laana;