Hao Kumi na Wawili Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie.
Yohana 12:22 - Swahili Revised Union Version Filipo akaenda, akamwambia Andrea; kisha Andrea na Filipo wakamwambia Yesu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Filipo akaenda, akamwambia Andrea, nao wawili wakaenda kumwambia Yesu. Biblia Habari Njema - BHND Filipo akaenda, akamwambia Andrea, nao wawili wakaenda kumwambia Yesu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Filipo akaenda, akamwambia Andrea, nao wawili wakaenda kumwambia Yesu. Neno: Bibilia Takatifu Filipo akaenda akamweleza Andrea, nao wote wawili wakamwambia Isa. Neno: Maandiko Matakatifu Filipo akaenda akamweleza Andrea, nao wote wawili wakamwambia Isa. BIBLIA KISWAHILI Filipo akaenda, akamwambia Andrea; kisha Andrea na Filipo wakamwambia Yesu. |
Hao Kumi na Wawili Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie.