Basi wengi katika Wayahudi waliokuja kwa Mariamu, na kuyaona yale aliyoyafanya, wakamwamini.
Yohana 10:42 - Swahili Revised Union Version Nao wengi wakamwamini huko. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wengi mahali hapo wakamwamini. Biblia Habari Njema - BHND Watu wengi mahali hapo wakamwamini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wengi mahali hapo wakamwamini. Neno: Bibilia Takatifu Nao watu wengi wakamwamini Isa huko. Neno: Maandiko Matakatifu Nao wengi wakamwamini Isa huko. BIBLIA KISWAHILI Nao wengi wakamwamini huko. |
Basi wengi katika Wayahudi waliokuja kwa Mariamu, na kuyaona yale aliyoyafanya, wakamwamini.
Lakini hata katika wakuu walikuwamo wengi waliomwamini; lakini kwa sababu ya Mafarisayo hawakumkiri, wasije wakatengwa na sinagogi.
Hata alipokuwapo Yerusalemu kwenye sikukuu wakati wa Pasaka, watu wengi waliamini jina lake, walipoziona ishara zake alizozifanya.
Na katika mji ule Wasamaria wengi walimwamini kwa sababu ya neno la yule mwanamke, aliyeshuhudia kwamba, Aliniambia mambo yote niliyoyatenda.
Na watu wengi katika mkutano wakamwamini; wakasema, Atakapokuja Kristo, je! Atafanya ishara nyingi zaidi kuliko hizi alizozifanya huyu?