Yesu akawajibu, Niliwaambia, lakini ninyi hamsadiki. Kazi hizi ninazozifanya kwa jina la Baba yangu ndizo zinazonishuhudia.
Yohana 10:37 - Swahili Revised Union Version Kama sizitendi kazi za Baba yangu, msiniamini; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama sifanyi kazi za Baba yangu, msiniamini. Biblia Habari Njema - BHND Kama sifanyi kazi za Baba yangu, msiniamini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama sifanyi kazi za Baba yangu, msiniamini. Neno: Bibilia Takatifu Ikiwa sifanyi kazi za Baba yangu, basi msiniamini. Neno: Maandiko Matakatifu Ikiwa sifanyi kazi za Baba yangu, basi msiniamini, BIBLIA KISWAHILI Kama sizitendi kazi za Baba yangu, msiniamini; |
Yesu akawajibu, Niliwaambia, lakini ninyi hamsadiki. Kazi hizi ninazozifanya kwa jina la Baba yangu ndizo zinazonishuhudia.
Yesu akawajibu, Kazi njema nyingi nimewaonesha, zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe?
Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.
Kama nisingalitenda kwao kazi asizozitenda mtu mwingine, wasingalikuwa na dhambi; lakini sasa wametuona mimi na Baba yangu, na kutuchukia.