Yohana 10:23 - Swahili Revised Union Version Naye Yesu alikuwa akitembea hekaluni, katika ukumbi wa Sulemani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye Yesu akawa anatembea hekaluni katika ukumbi wa Solomoni. Biblia Habari Njema - BHND Naye Yesu akawa anatembea hekaluni katika ukumbi wa Solomoni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye Yesu akawa anatembea hekaluni katika ukumbi wa Solomoni. Neno: Bibilia Takatifu Naye Isa alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika Ukumbi wa Sulemani. Neno: Maandiko Matakatifu Naye Isa alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Sulemani. BIBLIA KISWAHILI Naye Yesu alikuwa akitembea hekaluni, katika ukumbi wa Sulemani. |
Basi alipokuwa akiwashika Petro na Yohana, watu wote wakawakusanyikia mbio katika tao lile lililoitwa tao la Sulemani, wakishangaa sana.
Na kwa mikono ya mitume zikafanyika ishara na maajabu mengi katika watu; nao wote walikuwako kwa nia moja katika ukumbi wa Sulemani;