Yohana 1:8 - Swahili Revised Union Version Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga. Biblia Habari Njema - BHND Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga. Neno: Bibilia Takatifu Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru. BIBLIA KISWAHILI Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru. |
Ninyi wenyewe mwanishuhudia ya kwamba nilisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele yake.
Paulo akasema, Yohana alibatiza kwa ubatizo wa toba, akiwaambia watu wamwamini yeye atakayekuja nyuma yake, yaani, Yesu.