Isaka akasema na Abrahamu baba yake, akinena, Babangu! Naye akasema, Mimi hapa, mwanangu. Akasema, Tazama! Moto upo, na kuni zipo, lakini yuko wapi mwana-kondoo kwa sadaka ya kuteketezwa?
Yohana 1:36 - Swahili Revised Union Version Akamtazama Yesu akitembea, akasema, Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu! Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazameni! Huyu ndiye Mwanakondoo wa Mungu.” Biblia Habari Njema - BHND Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazameni! Huyu ndiye Mwanakondoo wa Mungu.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazameni! Huyu ndiye Mwanakondoo wa Mungu.” Neno: Bibilia Takatifu Alipomwona Isa akipita, akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu!” Neno: Maandiko Matakatifu Alipomwona Isa akipita, akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu!” BIBLIA KISWAHILI Akamtazama Yesu akitembea, akasema, Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu! |
Isaka akasema na Abrahamu baba yake, akinena, Babangu! Naye akasema, Mimi hapa, mwanangu. Akasema, Tazama! Moto upo, na kuni zipo, lakini yuko wapi mwana-kondoo kwa sadaka ya kuteketezwa?
Niangalieni mimi, mkaokolewe, enyi ncha zote za dunia; maana mimi ni Mungu; hapana mwingine.
Kesho yake alimwona Yesu akija kwake, akasema, Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu!
tukimtazama Yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake aliustahimili msalaba na kuidharau aibu, naye ameketi katika mkono wa kulia wa kiti cha enzi cha Mungu.