ambaye neno la BWANA lilimjia katika siku za Yosia, mwana wa Amoni, mfalme wa Yuda, katika mwaka wa kumi na tatu wa kutawala kwake.
Yoeli 1:1 - Swahili Revised Union Version Neno la BWANA lililomjia Yoeli, mwana wa Pethueli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yoeli, mwana wa Pethueli: Biblia Habari Njema - BHND Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yoeli, mwana wa Pethueli: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yoeli, mwana wa Pethueli: Neno: Bibilia Takatifu Neno la Mwenyezi Mungu ambalo lilimjia Yoeli mwana wa Pethueli. Neno: Maandiko Matakatifu Neno la bwana ambalo lilimjia Yoeli mwana wa Pethueli. BIBLIA KISWAHILI Neno la BWANA lililomjia Yoeli, mwana wa Pethueli. |
ambaye neno la BWANA lilimjia katika siku za Yosia, mwana wa Amoni, mfalme wa Yuda, katika mwaka wa kumi na tatu wa kutawala kwake.
neno la BWANA lilimjia Ezekieli, kuhani, mwana wa Buzi, katika nchi ya Wakaldayo, karibu na mto Kebari; na mkono wa BWANA ulikuwa hapo juu yake.
Hili ndilo neno la BWANA lililomjia Hosea, mwana wa Beeri, siku za Uzia, na Yothamu, na Ahazi, na Hezekia, wafalme wa Yuda; na siku za Yeroboamu, mwana wa Yoashi, mfalme wa Israeli.
Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.