Tena neno la BWANA likanijia, kusema, Yeremia, waona nini? Nikasema, Naona ufito wa mlozi.
Yeremia 2:1 - Swahili Revised Union Version Neno la BWANA likanijia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema - BHND Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Neno: Bibilia Takatifu Neno la Mwenyezi Mungu lilinijia kusema, Neno: Maandiko Matakatifu Neno la bwana lilinijia kusema, BIBLIA KISWAHILI Neno la BWANA likanijia, kusema, |
Tena neno la BWANA likanijia, kusema, Yeremia, waona nini? Nikasema, Naona ufito wa mlozi.
Nao watapigana nawe; lakini hawatakushinda; maana mimi nipo pamoja nawe, asema BWANA, ili nikuokoe.
Nenda ukalie masikioni mwa Yerusalemu, ukisema, BWANA asema hivi, Nakukumbuka, hisani ya ujana wako, upendo wa wakati wa kuposwa kwako; Jinsi ulivyonifuata huko jangwani, katika nchi isiyopandwa mbegu.
Nabii aliye na ndoto, na aseme ndoto yake; na yeye aliye na neno langu, na aseme neno langu kwa uaminifu. Makapi ni kitu gani kuliko ngano? Asema BWANA.
Nami nitampa mashamba yake ya mizabibu toka huko, na bonde la Akori kuwa mlango wa tumaini; naye ataniitikia huko, kama siku zile za ujana wake, na kama siku ile alipopanda kutoka nchi ya Misri.
Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,
Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.