Yeremia 11:1 - Swahili Revised Union Version Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno lilimjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu; Biblia Habari Njema - BHND Neno lilimjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno lilimjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu; Neno: Bibilia Takatifu Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi Mungu: Neno: Maandiko Matakatifu Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa bwana: BIBLIA KISWAHILI Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, kusema, |
Hasira yako uwamwagie mataifa wasiokujua, na jamaa zao wasioliitia jina lako; kwa maana wamemla Yakobo, naam, wamemla kabisa na kumwangamiza, na kuyafanya makao yake kuwa ukiwa.