Bali mimi nawaambieni, Kila amkasirikiaye ndugu yake itampasa hukumu; na mtu akimtusi ndugu yake, anastahili kuhukumiwa na baraza; na mtu akimwambia nduguye, Ewe mpumbavu, anastahili kuingia katika moto wa Jehanamu.
Yakobo 1:20 - Swahili Revised Union Version kwa maana hasira ya mwanadamu haiitendi haki ya Mungu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenye hasira hawezi kutimiza matakwa ya Mungu yaliyo ya haki. Biblia Habari Njema - BHND Mwenye hasira hawezi kutimiza matakwa ya Mungu yaliyo ya haki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenye hasira hawezi kutimiza matakwa ya Mungu yaliyo ya haki. Neno: Bibilia Takatifu Kwa maana hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa maana hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mwenyezi Mungu. BIBLIA KISWAHILI kwa maana hasira ya mwanadamu haiitendi haki ya Mungu. |