Kisha akaisongeza sadaka ya unga, na kutwaa konzi humo, na kuiteketeza juu ya madhabahu, pamoja na sadaka ya kuteketezwa ya asubuhi.
Walawi 9:16 - Swahili Revised Union Version Kisha akaisongeza sadaka ya kuteketezwa, na kuitoa kulingana na sheria. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha akaweka mbele ile sadaka ya kuteketezwa akatolea sadaka hiyo kulingana na agizo. Biblia Habari Njema - BHND Kisha akaweka mbele ile sadaka ya kuteketezwa akatolea sadaka hiyo kulingana na agizo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha akaweka mbele ile sadaka ya kuteketezwa akatolea sadaka hiyo kulingana na agizo. Neno: Bibilia Takatifu Haruni akaleta sadaka ya kuteketezwa na kuitoa kama ilivyoelekezwa. Neno: Maandiko Matakatifu Haruni akaleta sadaka ya kuteketezwa na kuitoa kama ilivyoelekezwa. BIBLIA KISWAHILI Kisha akaisongeza sadaka ya kuteketezwa, na kuitoa kulingana na sheria. |
Kisha akaisongeza sadaka ya unga, na kutwaa konzi humo, na kuiteketeza juu ya madhabahu, pamoja na sadaka ya kuteketezwa ya asubuhi.