Walawi 11:16 - Swahili Revised Union Version na mbuni, na kirukanjia, na dudumizi, na kipanga kwa aina zake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mbuni, kirukanjia, dudumizi, aina zote za kipanga, Biblia Habari Njema - BHND mbuni, kirukanjia, dudumizi, aina zote za kipanga, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mbuni, kirukanjia, dudumizi, aina zote za kipanga, Neno: Bibilia Takatifu mbuni, kiruka-njia, dudumizi, kipanga, shakwe, aina zote za kipanga, Neno: Maandiko Matakatifu mbuni, kiruka-njia, dudumizi, kipanga, shakwe, aina zote za kipanga, BIBLIA KISWAHILI na mbuni, na kirukanjia, na dudumizi, na kipanga kwa aina zake; |
Akalia kwa sauti kuu, akisema, Umeanguka, umeanguka Babeli ulio mkuu; umekuwa maskani ya mashetani, na ngome ya kila roho mchafu, na ngome ya kila ndege mchafu mwenye kuchukiza;