Lakini natumaini katika Bwana Yesu kumtuma Timotheo afike kwenu karibu, nifarijiwe na mimi, nikiijua hali yenu.
Wafilipi 2:24 - Swahili Revised Union Version Nami naamini katika Bwana ya kuwa nitakuja na mimi mwenyewe hivi karibuni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na, ninatumaini katika Bwana kwamba nami pia nitaweza kuja kwenu karibuni. Biblia Habari Njema - BHND Na, ninatumaini katika Bwana kwamba nami pia nitaweza kuja kwenu karibuni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na, ninatumaini katika Bwana kwamba nami pia nitaweza kuja kwenu karibuni. Neno: Bibilia Takatifu Nami mwenyewe ninatumaini katika Bwana Isa kwamba nitakuja kwenu hivi karibuni. Neno: Maandiko Matakatifu Nami mwenyewe ninatumaini katika Bwana Isa kwamba nitakuja kwenu hivi karibuni. BIBLIA KISWAHILI Nami naamini katika Bwana ya kuwa nitakuja na mimi mwenyewe hivi karibuni. |
Lakini natumaini katika Bwana Yesu kumtuma Timotheo afike kwenu karibu, nifarijiwe na mimi, nikiijua hali yenu.
Na pamoja na hayo uniwekee tayari mahali pa kukaa; maana natumaini ya kwamba kwa maombi yenu nitarejeshwa kwenu.
Kwa kuwa ninayo mambo mengi, sitaki kuyaandika kwa karatasi na wino; lakini natarajia kuja kwenu, na kusema nanyi uso kwa uso, ili furaha yetu iwe imetimizwa.