bali aliagana nao, akisema, Nitarejea kwenu tena, Mungu akinijalia. Akatweka, akatoka Efeso,
Waebrania 6:3 - Swahili Revised Union Version Na hayo tutafanya Mungu akitujalia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hilo tutafanya, Mungu akipenda. Biblia Habari Njema - BHND Hilo tutafanya, Mungu akipenda. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hilo tutafanya, Mungu akipenda. Neno: Bibilia Takatifu Mungu akitujalia tutafanya hivyo. Neno: Maandiko Matakatifu Mwenyezi Mungu akitujalia tutafanya hivyo. BIBLIA KISWAHILI Na hayo tutafanya Mungu akitujalia. |
bali aliagana nao, akisema, Nitarejea kwenu tena, Mungu akinijalia. Akatweka, akatoka Efeso,
Maana sipendi kuonana nanyi sasa, katika kupita tu, kwa sababu natarajia kukaa kwenu muda kidogo, Bwana akinijalia.
Lakini nitakuja kwenu upesi, nikijaliwa, nami nitafahamu, si neno lao tu wajivunao, bali nguvu zao.
Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu,