Na pamoja na hayo uniwekee tayari mahali pa kukaa; maana natumaini ya kwamba kwa maombi yenu nitarejeshwa kwenu.
Waebrania 13:19 - Swahili Revised Union Version Nami nawasihi zaidi sana kufanya hayo ili nirudishwe kwenu upesi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo. Biblia Habari Njema - BHND Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo. Neno: Bibilia Takatifu Ninawasihi zaidi mniombee ili nipate kurudishwa kwenu upesi. Neno: Maandiko Matakatifu Ninawasihi zaidi mniombee ili nipate kurudishwa kwenu upesi. BIBLIA KISWAHILI Nami nawasihi zaidi sana kufanya hayo ili nirudishwe kwenu upesi. |
Na pamoja na hayo uniwekee tayari mahali pa kukaa; maana natumaini ya kwamba kwa maombi yenu nitarejeshwa kwenu.
Lakini nawasihi, ndugu, mchukuliane na neno hili lenye maonyo maana nimewaandikia kwa maneno machache.