Katika siku ya kwanza ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi wake wakamwendea Yesu, wakamwambia, Ni wapi utakapo tukuandalie uile Pasaka?
Ufunuo 8:6 - Swahili Revised Union Version Na wale malaika saba wenye baragumu saba wakajiweka tayari ili wazipige. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha, wale malaika saba wenye tarumbeta saba wakajiweka tayari kupiga mbiu ya mgambo. Biblia Habari Njema - BHND Kisha, wale malaika saba wenye tarumbeta saba wakajiweka tayari kupiga mbiu ya mgambo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha, wale malaika saba wenye tarumbeta saba wakajiweka tayari kupiga mbiu ya mgambo. Neno: Bibilia Takatifu Basi wale malaika saba waliokuwa na zile tarumbeta saba wakajiandaa kuzipiga. Neno: Maandiko Matakatifu Basi wale malaika saba waliokuwa na zile tarumbeta saba wakajiandaa kuzipiga. BIBLIA KISWAHILI Na wale malaika saba wenye baragumu saba wakajiweka tayari ili wazipige. |
Katika siku ya kwanza ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi wake wakamwendea Yesu, wakamwambia, Ni wapi utakapo tukuandalie uile Pasaka?