Akalishika lile joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu;
Ufunuo 20:7 - Swahili Revised Union Version Na hiyo miaka elfu itakapokwisha, Shetani atafunguliwa, atoke kifungoni mwake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakati miaka 1,000 itakapotimia, Shetani atafunguliwa kutoka gerezani mwake. Biblia Habari Njema - BHND Wakati miaka 1,000 itakapotimia, Shetani atafunguliwa kutoka gerezani mwake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakati miaka 1,000 itakapotimia, Shetani atafunguliwa kutoka gerezani mwake. Neno: Bibilia Takatifu Hiyo miaka elfu itakapotimia, Shetani atafunguliwa atoke kifungoni mwake, Neno: Maandiko Matakatifu Hiyo miaka 1,000 itakapotimia, Shetani atafunguliwa kutoka kifungoni mwake, BIBLIA KISWAHILI Na hiyo miaka elfu itakapokwisha, Shetani atafunguliwa, atoke kifungoni mwake; |
Akalishika lile joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu;
Wale malaika wanne wakafunguliwa, waliokuwa wamewekwa tayari kwa ile saa na siku na mwezi na mwaka, ili kwamba waue theluthi ya wanadamu.