Haruni akamwoa Elisheba, binti ya Aminadabu, dada yake Nashoni; naye akamzalia Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Ruthu 4:20 - Swahili Revised Union Version na Aminadabu akamzaa Nashoni; na Nashoni akamzaa Salmoni; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aminadabu akamzaa Nahshoni, Nahshoni akamzaa Salmoni, Biblia Habari Njema - BHND Aminadabu akamzaa Nahshoni, Nahshoni akamzaa Salmoni, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aminadabu akamzaa Nahshoni, Nahshoni akamzaa Salmoni, Neno: Bibilia Takatifu Aminadabu akamzaa Nashoni, Nashoni akamzaa Salmoni, Neno: Maandiko Matakatifu Aminadabu akamzaa Nashoni, Nashoni akamzaa Salmoni, BIBLIA KISWAHILI na Aminadabu akamzaa Nashoni; na Nashoni akamzaa Salmoni; |
Haruni akamwoa Elisheba, binti ya Aminadabu, dada yake Nashoni; naye akamzalia Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Na hao watakaopanga upande wa mashariki, kwa kuelekea maawio ya jua, ndio wale wa bendera ya kambi ya Yuda, kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Yuda atakuwa Nashoni mwana wa Aminadabu.