Haruni akamwoa Elisheba, binti ya Aminadabu, dada yake Nashoni; naye akamzalia Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Ruthu 4:19 - Swahili Revised Union Version na Hesroni akamzaa Ramu; na Ramu akamzaa Aminadabu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hesroni akamzaa Rami, Rami akamzaa Aminadabu, Biblia Habari Njema - BHND Hesroni akamzaa Rami, Rami akamzaa Aminadabu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hesroni akamzaa Rami, Rami akamzaa Aminadabu, Neno: Bibilia Takatifu Hesroni akamzaa Ramu, Ramu akamzaa Aminadabu, Neno: Maandiko Matakatifu Hesroni akamzaa Ramu, Ramu akamzaa Aminadabu, BIBLIA KISWAHILI na Hesroni akamzaa Ramu; na Ramu akamzaa Aminadabu; |
Haruni akamwoa Elisheba, binti ya Aminadabu, dada yake Nashoni; naye akamzalia Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.