Na tazama, Boazi akaja kutoka Bethlehemu na kuwaamkia wavunaji, akasema, BWANA akae nanyi. Nao wakamwitikia, BWANA na akubariki.
Ruthu 2:5 - Swahili Revised Union Version Kisha Boazi akamwuliza mtumishi aliyewasimamia wavunaji, Na huyu je! Ni msichana wa nani? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Boazi akamwuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule msichana ni nani?” Biblia Habari Njema - BHND Kisha Boazi akamwuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule msichana ni nani?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Boazi akamwuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule msichana ni nani?” Neno: Bibilia Takatifu Boazi akamuuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule mwanamwali ni wa nani?” Neno: Maandiko Matakatifu Boazi akamuuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule mwanamwali ni wa nani?” BIBLIA KISWAHILI Kisha Boazi akamwuliza mtumishi aliyewasimamia wavunaji, Na huyu je! Ni msichana wa nani? |
Na tazama, Boazi akaja kutoka Bethlehemu na kuwaamkia wavunaji, akasema, BWANA akae nanyi. Nao wakamwitikia, BWANA na akubariki.
Yule msimamizi aliyewasimamia wavunaji akajibu, akasema, Ni yule msichana Mmoabi aliyerudi pamoja na Naomi, kutoka nchi ya Moabu;