tena zaidi ya hao, kulikuwa na watumishi wao wanaume kwa wanawake, ambao walikuwa elfu saba na mia tatu na thelathini na saba; kisha walikuwa na waimbaji wanaume kwa wanawake mia mbili arubaini na watano.
Nehemia 7:68 - Swahili Revised Union Version Farasi wao walikuwa mia saba thelathini na sita; nyumbu zao, mia mbili arubaini na watano; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, Biblia Habari Njema - BHND Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, Neno: Bibilia Takatifu Walikuwa na farasi mia saba thelathini na sita (736), nyumbu mia mbili arobaini na watano (245), Neno: Maandiko Matakatifu Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245 BIBLIA KISWAHILI Farasi zao zilikuwa mia saba thelathini na sita; nyumbu zao, mia mbili arobaini na watano; |