Basi hapo Ezra alipokuwa akiomba na kuungama, akilia, na kujiangusha kifudifudi mbele ya nyumba ya Mungu, kusanyiko kubwa sana la wanaume, wanawake na watoto, kutoka katika Israeli likamkusanyikia; maana watu hao walikuwa wakilia sana.
Nehemia 13:8 - Swahili Revised Union Version Nami nikasikitika sana; basi nikavitupa nje vyombo vyote vya Tobia vitoke humo chumbani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nilikasirika sana na nikavitupa nje vyombo vyote vya Tobia. Biblia Habari Njema - BHND Nilikasirika sana na nikavitupa nje vyombo vyote vya Tobia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nilikasirika sana na nikavitupa nje vyombo vyote vya Tobia. Neno: Bibilia Takatifu Nilikasirika sana na nikavitupa nje vyombo vyote vya Tobia. Neno: Maandiko Matakatifu Nilikasirika sana na nikavitupa nje vyombo vyote vya Tobia. BIBLIA KISWAHILI Nami nikasikitika sana; basi nikavitupa nje vyombo vyote vya Tobia vitoke humo chumbani. |
Basi hapo Ezra alipokuwa akiomba na kuungama, akilia, na kujiangusha kifudifudi mbele ya nyumba ya Mungu, kusanyiko kubwa sana la wanaume, wanawake na watoto, kutoka katika Israeli likamkusanyikia; maana watu hao walikuwa wakilia sana.
Kisha nikatoa amri, nao wakavisafisha vyumba; nami nikavirudisha humo vyombo vya nyumba ya Mungu, pamoja na sadaka za unga na ubani.