Na wana wa Hanania; Pelatia na Yeshaya; na wana wa Refaya, na wana wa Arnani, na wana wa Obadia, na wana wa Shekania.
Nehemia 12:3 - Swahili Revised Union Version Shekania, Harimu, Meremothi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shekania, Rehumu, Meremothi, Biblia Habari Njema - BHND Shekania, Rehumu, Meremothi, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shekania, Rehumu, Meremothi, Neno: Bibilia Takatifu Shekania, Rehumu, Meremothi, Neno: Maandiko Matakatifu Shekania, Rehumu, Meremothi, BIBLIA KISWAHILI Shekania, Harimu, Meremothi; |
Na wana wa Hanania; Pelatia na Yeshaya; na wana wa Refaya, na wana wa Arnani, na wana wa Obadia, na wana wa Shekania.
Baada yake wakajenga Walawi, Rehumu, mwana wa Bani. Baada yake akajenga Hashabia, mkuu wa nusu ya mtaa wa Keila, kwa mtaa wake.
ndio hawa waliokuja pamoja na Zerubabeli, Yoshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Nahamani, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu, na Baana. Hii ndiyo idadi ya watu wa watu wa Israeli;