Nehemia 12:11 - Swahili Revised Union Version Yoyada akamzaa Yohana, Yohana akamzaa Yadua. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yoyada alimzaa Yonathani na Yonathani akamzaa Yadua. Biblia Habari Njema - BHND Yoyada alimzaa Yonathani na Yonathani akamzaa Yadua. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yoyada alimzaa Yonathani na Yonathani akamzaa Yadua. Neno: Bibilia Takatifu Yoyada alikuwa baba wa Yonathani, na Yonathani alikuwa baba wa Yadua. Neno: Maandiko Matakatifu Yoyada alikuwa baba wa Yonathani, na Yonathani alikuwa baba wa Yadua. BIBLIA KISWAHILI Yoyada akamzaa Yonathani, Yonthani akamzaa Yadua. |
Na siku za Yoyakimu wakawako makuhani, wakuu wa mbari za mababa; wa Seraya, Meraya; wa Yeremia, Hanania;
Walawi siku za Eliashibu, na Yoyada, na Yohana, na Yadua, wameorodheshwa wakuu wa mbari za mababa; tena na makuhani; hata siku za kumiliki kwake Dario, Mwajemi.