Na kwa posho yake, alipewa posho ya daima na mfalme, siku kwa siku sehemu, siku zote za maisha yake.
Nehemia 11:23 - Swahili Revised Union Version Kwa kuwa palikuwa na amri ya mfalme juu yao, na agizo la hakika walilowekewa waimbaji, kama ilivyohusika na kila siku. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mfalme alikuwa ametoa amri kuhusu zamu zao na mahitaji yao ya kila siku. Biblia Habari Njema - BHND Mfalme alikuwa ametoa amri kuhusu zamu zao na mahitaji yao ya kila siku. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mfalme alikuwa ametoa amri kuhusu zamu zao na mahitaji yao ya kila siku. Neno: Bibilia Takatifu Waimbaji walikuwa chini ya amri za mfalme, ambazo pia ziliratibu shughuli zao za kila siku. Neno: Maandiko Matakatifu Waimbaji walikuwa chini ya amri za mfalme, ambazo pia ziliratibu shughuli zao za kila siku. BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa palikuwa na amri ya mfalme juu yao, na agizo la hakika walilowekewa waimbaji, kama ilivyohusika na kila siku. |
Na kwa posho yake, alipewa posho ya daima na mfalme, siku kwa siku sehemu, siku zote za maisha yake.
Tena hawa ndio waimbaji, wakuu wa koo za baba zao katika Walawi, ambao walikaa vyumbani, kisha walikuwa hawana kazi nyingine; kwa kuwa walifanya kazi yao mchana na usiku.
Na Israeli wote, siku za Zerubabeli, na siku za Nehemia, walitoa sehemu za waimbaji na mabawabu, kama ilivyohusika kila siku; nao wakawatakasia Walawi; na Walawi wakawatakasia wana wa Haruni.