Nehemia 10:5 - Swahili Revised Union Version Harimu, Meremothi, Obadia; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Harimu, Meremothi, Obadia, Biblia Habari Njema - BHND Harimu, Meremothi, Obadia, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Harimu, Meremothi, Obadia, Neno: Bibilia Takatifu Harimu, Meremothi, Obadia, Neno: Maandiko Matakatifu Harimu, Meremothi, Obadia, BIBLIA KISWAHILI Harimu, Meremothi, Obadia; |
Na baada yao akajenga Yedaya, mwana wa Harumafu, kuielekea nyumba yake. Na baada yake akajenga Hatushi, mwana wa Hashabneya.
Malkiya, mwana wa Harimu, na Hashubu, mwana wa Pahath-moabu, wakajenga sehemu nyingine, na mnara wa tanuri.
Baada yake akajenga Meremothi, mwana wa Uria, mwana wa Hakosi, sehemu nyingine, kutoka mlangoni mwa nyumba ya Eliashibu mpaka mwisho wa nyumba ya Eliashibu.
Na baada yao akaijenga Meremothi, mwana wa Uria, mwana wa Hakosi. Na baada yao akafanyiza Meshulamu, mwana wa Berekia, mwana wa Meshezabeli. Na baada yao akafanyiza Sadoki, mwana wa Baana.